Chechnya: JAMHURI YA MCHANGANYIKO WA TOFAUTI
Jamhuri ya Chechnya ya Urusi imefufua baada ya migogoro miwili ya kijeshi katika historia yake baada ya kusambaratika kwa Umoja wa Kisovyeti. Hakuna tena nyumba zilizoharibiwa wala milipuko ya risasi. Leo mji mkuu wa Grozny unakaribisha watu mashuhuri wa kimataifa, pia hapa panafanyika maonyesho ya mitindo, lakini yote yatokea kulingana na sheria ya Sharia na desturi za mahali hapo.
Je, unataka kuona nchi yenye tofauti ya kushangaza, kukutana na Wachecheni na kuona jinsi wanavyochanganya utamaduni na mtindo wa kisasa? Tazama filamu “JAMHURI YA MCHANGANYIKO WA TOFAUTI”, RT Documentary Swahili ili kupata habari juu ya utamaduni wa kipekee wa Chechnya.