MKULIMA MCHANGAMFU

MKULIMA MCHANGAMFU

Siku hizi John Yanovich, kama anavyopendelea kuitwa, anaendesha ufugaji wa ng’ombe wa maziwa na ana ng'ombe zaidi ya 4000 takriban kilomita 200 mashariki mwa Moscow katika mkoa wa Vladimir. Pamoja na mkewe Nina na watoto 5 yeye ni mzalendo, anayejivunia nchi yake mpya na historia yake. Je, ni vipi Mwingereza huyo mwenye ndevu nyeupe ameweza kuwa mrusi hata zaidi kuliko warusi wenyeji?